BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Khamenei: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba ikiwa wataanzisha vita wakati huu vitakuwa vita vya eneo zima
Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ametahadharisha katika kukabiliana na ongezeko la vikosi vya kijeshi vya Marekani katika eneo hili: "Wamarekani wanapaswa kujua kwamba iwapo wataanzisha vita, mara hii vitakuwa vita vya kieneo."
Je, majukwaa ya kijamii yanachochea vipi hasira?
Watu wengi huchangia kutoa maoni na kuchapisha ujumbe licha ya wao kujua kuwa ujumbe huo umetiwa chumvi, muktadha wake sio sahihi, au hata unapotosha.
Kwanini bei ya dhahabu inaongezeka kwa kasi?
Mvutano kati ya Marekani na Jumuiya ya kujihami ya NATO kuhusu eneo la Greenland, imeongeza wasiwasi kuhusu hali ya uchumi duniani.
Zaidi ya watu 200 wafariki katika mgodi ulioporomoka DR Congo
Wanawake na watoto walikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wakichimba koltani - madini yaliyotumika kutengeneza vifaa vya elektroniki kama vile simu za mkononi na kompyuta - wakati huo.
Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Mateta akubali uhamisho wa kujiunga na AC Milan
Jean-Philippe Mateta amekubali mkataba na AC Milan hadi 2030, Fulham wametoa ofa ya £20m kwa lengo la kumsajili Joe Willock iliyokataliwa na Newcastle, na Michael Carrick anataka Marcus Rashford arejeshwe Manchester United ikiwa atasalia kama kocha mkuu.
Marekani yakataa msamaha wa Jenerali Muhoozi wa Uganda
Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda.
Ni wakati gani unapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya kushindwa kudhibiti mawazo?
Wengi wetu tutapata matukio ya kutatanisha akilini mwetu mara kwa mara, hapa ndipo pa kuwa na wasiwasi na cha kufanya.
Kutoka Gorée hadi Cape Coast haya ni maeneo 5 muhimu ya utumwa Afrika
Utumwa ni sehemu chungu ya historia ya Afrika iliyonyang'anya watu wengi, hasa watu weusi, heshima yao na kuacha majeraha ya kudumu.
Trump, Netanyahu, Ulaya walichochea machafuko katika maandamano - Iran
Viongozi wa Marekani, Israel na Ulaya walijaribu "kuchochea na kusababisha mgawanyiko ili kuvutia watu wasio na hatia katika harakati hizi," Pezeshkian alisema.
Wasyria wanaoomba uraia wa Israeli wanahisi hawako salama tena
Idadi ya Druze wa Syria katika Milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu iliongezeka sana mwaka wa 2025.
Inter wanamtaka Jones wa Liverpool kwa mkopo
Curtis Jones wa Liverpool anavutia klabu ya Serie A, Inter Milan, huku Gabriel Jesus na Gabriel Martinelli wakitarajiwa kujiunga na La Liga. Hata hivyo, Joshua Zirkzee anaonekana kwa sasa anaweza kusalia Ligi ya Primia.
Nini kitatokea iwapo Marekani itaishambulia Iran?
Marekani inaonekana iko tayari kuishambulia Iran ndani ya siku chache. Ingawa malengo yanayowezekana yanaweza kutabirika kwa kiasi kikubwa, matokeo hayatabiriki.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Je, Marekani inajiandaa kuishambulia tena Iran?
Marekani, yenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani, tayari imeshawahi kuonyesha uwezo wake wa kuishambulia Iran. Mnamo Juni mwaka jana, ilitekeleza operesheni iliyopewa jina Operation Midnight Hammer, iliyolenga vituo vya nyuklia vya Iran.
Mwanamke amshikilia mwanamke mwanzake mateka kwa miaka 25
Wixon alimpa mwathiriwa chakula kidogo na hakumruhusu kutoka nje ya nyumba na alilazimika kuoga kwa siri usiku.
Marekani yapeleka meli kubwa ya kivita mashariki ya kati kuna nini?
Manowari ya kubeba ndege inayotumia nishati ya nyuklia ya Lincoln imekuwa ikihudumu chini ya Jeshi la Wanamaji la Marekani tangu 1989 na ni mojawapo ya meli kubwa na za kisasa zaidi za kubeba ndege katika Jeshi la Wanamaji la Marekani.
Kwanini serikali ya DRC inaikataa ripoti ya Human Rights Watch (HRW)?
DRC imekanusha madai yaliyochapishwa katika ripoti ya Human Rights Watch kuhusu usalama wa eneo la Uvira kwa kusema kuwa madai yao hayakuwa ya kweli, na yamechukuliwa nje ya muktadha wa kisheria na kiusalama.
Je, unaweza kulala ndani ya dakika mbili?
Watu wengine huwa na wakati mgumu kulala, wakati wengine hawawezi kulala kabisa. Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na tatizo hili.
Jenerali wa kijeshi wa China ambaye serikali ina wasiwasi naye
Wizara ya Ulinzi ya China imesema imeanzisha uchunguzi dhidi ya Jenerali wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini humo, ikimtuhumu kwa "ukiukaji mkubwa wa nidhamu na sheria."
'Nusu ya marafiki zangu waliuawa' - wasichana wanaorejea katika shule iliyojikuta katikati ya vita
Pacha ambao wanafunzi wenzao waliiuawa katika shabulio la makombora wanasema vifo vyao vimewafanya waazimie kumaliza masomo yao.
'Msitupeleke hospitalini': Waandamanaji wa Iran wanaotibiwa kwa siri wakikwepa kukamatwa
Kiwango kamili cha umwagaji damu uliotokana na ukandamizaji wa vikosi vya usalama dhidi ya maandamano ya kupinga serikali yaliyokumba Iran mwezi huu bado hakijajulikana.
Mpasuko wa 'chungwa' ndio kifo cha chama cha Raila Odinga - ODM?
''Chungwa'' ni nembo ya chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya ambalo limekuwepo kwa miongo miwili sasa, na ambalo kwa sasa baadhi ya wafuasi wake na hata wachambuzi wa kisiasa wanasema kwamba huenda likapasuka vibaya.
Maeneo ambayo Marekani ilinunua katika historia yake ili kuunda nchi inayoonekana leo
Donald Trump anataka Greenland iwe sehemu ya Marekani na hata amewahi kupendekeza uwezekano wa kuinunua kutoka kwa Ufalme wa Denmark, ambao kisiwa hicho ni mali yake.
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka. Sasa ataongoza muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
'Ananyanyaswa na kufuatiliwa kila hatua': Nyota wa muziki anayemkabili rais wa muda mrefu wa Uganda
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 2 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 30 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 30 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































